Serikali itoe semina kwa wajumbe bunge la Katiba
Serikali ya Tanzania, imeombwa kuwapa semina za jinsi ya uendeshaji wa shughuli za bunge, wabunge 201 walioteuliwa na rais kutoka katika makundi mbalimbali ya kijamii ambao wanaunda bunge maalumu la katiba.