'Umenuna' yamrejesha Mb Dogg Msanii MB Dogg, ambaye baada ya ukimya wa muda mrefu akiwa anafanya mambo mengine ikiwepo suala zima la kuigiza filamu, ameamua kurejea katika sanaa ya muziki na ngoma mpya inayokwenda kwa jina 'Umenuna'. Read more about 'Umenuna' yamrejesha Mb Dogg