BMF waja na 'Highly Favoured' Kundi maarufu la muziki nchini Kenya (BMF) kwa kirefu Be My Faithful baada ya mafanikio waliyopata kupitia uzinduzi wa albamu yao hivi sasa wamerudi na project yao mpya iliyobatizwa jina ‘Highly Favoured'. Read more about BMF waja na 'Highly Favoured'