Yanga wapata ajali, wasalimika.

Basi la Yanga lapinduka Mikese.

Mabingwa wa soka Tanzania, Dar Young Africans, wamepata ajali maeneo ya Mikese mkoani Morogoro wakati wakirejea Dar Es Salaam kutoka Morogoro walikokwenda kucheza na mtibwa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyejeruhiwa. Yanga watacheza na Azam FC jumatano ijayo!

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS