Bodaboda walilia kupeleka abiria mjini.

Madereva wa boda boda na bajaji katika jiji la Dar es salaam nchini Tanzania wameiomba serikali kuwaruhusu kuendelea kuchukua abiria na kuwafikisha kati kati ya jiji kutokana na kuanza kushuka kwa vipato vyao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS