Wazee Yanga wafuta maandamano
Baraza la wazee wa klabu ya yanga hii leo limetangaza kusitisha mpango wao wa kufanya maandamno makubwa ya amani yaliyokua na lengo la kutaka kuishinikiza manispaa ya ilala kushughulikia ombi la klabu ya hiyo kutaka kuongezewa eneo zaidi la ujenzi w