Kivuko Dar-Bagamoyo kuwasili mwezi Mei

Serikali ya Tanzania imetumia shilingi bilioni 7.9 kununua kivuko chenye uwezo wa kubeba abiria mia tatu kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo mkoani Pwani ili kupunguza msongamano wa magari kati kati ya Jiji la Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS