Lameck Ditto; Tuongeze Bidii
Msanii Lameck Ditto, baada ya ukimya wa muda amerejea kwa kishindo na kazi mpya inayokwenda kwa jina Tuongeze Bidii ambayo amepanga kuiachia rasmi leo, wimbo huo unaongeza idadi ya nyimbo zake zilizo sikika katika vyombo vya habari kufikia tatu.