Rais Kikwete asisitiza umakini kujadili katiba.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amewataka wajumbe wa bunge maalum la katiba kujadili rasimu ya katiba neno kwa neno ili kuona namna ya kuirekebisha katiba hiyo na pale wanapoona kuna vifungu vya sheria visivyo stahili wanawajibu wa kuvifuta.