Vijana wa Tanzania wahimizwa kujua hali ya hewa. Mkurugenzi mkuu wa TMA Dakta Agnes Kijazi. Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania TMA imewataka vijana washiriki katika kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yanayoletwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Read more about Vijana wa Tanzania wahimizwa kujua hali ya hewa.