Kenzo kusimamiwa na kampuni kutoka Dubai

Msanii Kenzo kutoka nchini Kenya, baada ya kutangaza kuwa mambo yake sasa yameanza kumnyookea baada ya kutoka chini ya usimamizi ya lebo ya Ogopa, ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo katika hatua za mwisho za makubaliano kuingia katika mkataba huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS