Annastazia Gura ataka wanamitindo kuheshimiwa

Annastazia Gura -Tanzania Top Model 2014

Mshindi wa shindano la Top Model kwa mwaka 2014 kutoka Tanzania, Mrembo Annastasia Gura amesema kuwa, kuna umuhimu mkubwa wa wadau hususan wasichana kujitokeza kwa wingi kujihusisha na masuala ya mitindo, ili kujiongezea ufahamu wa mambo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS