Habida; Sijavamia uigizaji, nimesomea Habida Nyota wa muziki wa nchini Kenya, Habida baada ya kutangaza kupiga dili kubwa ya uigizaji ndani ya moja ya tamthilia kubwa kabisa Afrika, ameweka wazi kuwa, fani hii ya uigizaji ni kitu ambacho amesomea. Read more about Habida; Sijavamia uigizaji, nimesomea