Chameleone kutangaza Utalii UG Msanii Jose Chameleone wa nchini Uganda, amekabidhiwa rasmi jukumu la kutangaza utalii wa nchini Uganda, hususan vivutio zaidi ya 40 ambavyo vipo huko Busoga nchini Uganda. Read more about Chameleone kutangaza Utalii UG