BMT yavitaka vyama kuwasilisha kumbukumbu TOC
Baraza la michezo Tanzania BMT limevitaka vyama vyote vya michezo ambavyo vitatoa wawakilishi katika michuano ya jumuiya ya madola itakayofanyika jijini Grascow nchini Scotland, kuwasilisha majina na kumbukumbu za wachezaji wao mapema.