Fainali ya Netball Afrika Mashariki Zafana

Mwenyekiti wa CHANETA-Mama Anna Kibira.

Michuano ya klabu bingwa ya netball kwa nchi za afrika mashariki na kati iliyokua ikiendelea katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, imemalizika hii leo kwa michezo ya fainali kwa wanaume na wanawake kupigwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS