Wadau walaani vurugu za wachimbaji wadogo Nzega
Shirikikisho la wachimbaji na watafutaji madini na nishati nchini Tanzania TCME, limelaani vikali maandamano ya wachimbaji waliokuwa wakichimba dhahabu katika eneo la Mwashina, wilayani Nzega mkoani Tabora yaliyofanyika siku chache zilizopita.