The Mboni show week14

Kamera za The Mboni Show zinawamulika Judith Wambura Mbibo 'Jide' na Gardner G. Habash ambao ni mume na mke, wamiliki wa biashara mbalimbali na pia Gardner ni meneja wa Jide katika muziki. Kujua hayo na mengi kuwahusu, usikose.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS