Diamond katika mchakato kuwania Tuzo Za Kora
Msanii Diamond Platnumz, ameendelea kuchana mawimbi katika anga la Afrika ambapo amefanikiwa kuingia katika orodha ya wasanii 20 Bora ambao wanafanya vizuri Afrika, watakaoingia katika kinyanganyiro cha kuwania tuzo za Kora.