Muhimbili yalemewa na wagonjwa wa akili
Idara ya wagonjwa na afya ya akili katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili nchini Tanzania inakabiliwa na msongamano mkubwa wa wagonjwa wa akili kutokana na hospitali za Manispaa za Jiji kutokuwa na huduma hizo.