TATOA yaonya juu ya kukithiri kwa wizi wa mizigo
Wafanyabiashara wa nchi za jirani huenda wakaacha kutumia bandari na ardhi ya Tanzania kusafirishia mizigo yao kutokana na kukithiri kwa wizi wa mizigo inaposafirishwa wakati ikiingia na kutoka nchini.