Wahu; Watoto kwanza muziki baadae
Msanii wa muziki wa nchini Kenya, Wahu ambaye sasa ni mama wa watoto wawili, amesema kuwa kwa sasa katika maisha yake, familia yake hususan malezi ya watoto wake ndio kitu cha kwanza kabisa anachopenda na kujali huku muziki ukifuatia.