Treni mvua vyaleta maafa Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine watano kujeruhiwa baada ya treni ya mizigo iliyokuwa ikitokea jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwenda Kigoma kusombwa na maji katika eneo la Gode Gode Mkoani Morogoro. Read more about Treni mvua vyaleta maafa