Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa nchini Tanzania Dkt Hussein Mwinyi.
Serikali ya Tanzania imeahidi kuendelea kubuni fursa za ajira hususani kwa makundi ya vijana ambao hawana ajira na kushinda vijiweni bila shughuli ya msingi ya kuwaingizia kipato.