Pistorious kuanza kujitetea Oscar Pistorious Kesi ya mauaji inayomkabili nyota wa mbio za olympiki za walemavu, Oscar Pistorious inayoendelea huko Afrika Kusini, imefikia hatua nyeti ya upande wa utetezi kutoa ushahidi wake. Read more about Pistorious kuanza kujitetea