Wambura atemwa mbio za Urais Simba

Michael Wambura wakati akirudisha fomu ya kugombea

Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba imemuondoa aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa klabu hiyo Michael Richard Wambura kutokana na kutokuwa mwanachama halali wa Simba

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS