Simba Kuamua Hatima ya Ubingwa kwa Azam

Msimu uliopita, Yanga waliandika historia kwa kuwashangilia Simba ilipotoa sare na Azam. Sare hiyo ilirahisisha ubingwa kwa Yanga.

Ligi kuu ya soka Tanzania bara inatarajiwa kuendelea tena kesho, kwa michezo 6 kupigwa katika viwanja tofauti. Lakini michezo itakayovuta hisia za wengi ni mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS