Mtwara na Shinyanga watakiwa kukarabati viwanja
Bodi ya ligi Tanzania, imevitaka vyama vya michezo vya mikoa na wamiliki wa viwanja ambavyo timu zao zilishiriki ligi daraja la 1 na zimepanda ligi kuu, kuanza mapema ukarabati wa viwanja hivyo ili vikidhi viwango vya vya kuchezewa mechi msimu ujao