TATOA kupambana kuzuia wizi wa mizigo ya wateja

Msemaji wa chama cha wamiliki na wasafirishaji wa malori nchini Tanzania TATOA, Bw. Elias Lukumay.

Chama cha wamiliki wa malori nchini Tanzania TATOA, kimetoa magari matatu na pikipiki 20 kwa ajili ya kukabiliana na uporaji na wizi unaofanywa kwenye malori yanayosafiri katika barabara kuu nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS