Cindy akolea katika penzi la Ken

Cindy

Msanii wa muziki Cindy Sanyu, baada ya kuingia kwa kasi katika mahusiano mapya ya kimapenzi na
mfanyabiashara Ken Muyisa, ameamua kumfuata mpenzi wake huyu huko Afrika Kusini kwa ajili ya
kufurahia wakati mzuri pamoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS