Mzee Zorro katika ujenzi wa jumba la Wanamuziki
Msanii mkongwe wa muziki hapa Tanzania, Mzee Ally Zahir Zorro amesema kuwa kwa sasa yupo katika mpango wa kuirudisha bendi yake ya Mass Media kwa kasi katika muziki, ambapo sasa anawajengea wanamuziki wake nyumba ambayo itawasaidia kukaa pamoja.