Mwili ajali ya mtumbwi wapatikana Jeshi la Polisi mkoani Pwani, nchini Tanzania limesema limefanikiwa kupata maiti ya mtu mmoja katika ajali ya kuzama kwa mtumbwi jana usiku huko Rufiji mkoa wa Pwani. Read more about Mwili ajali ya mtumbwi wapatikana