Serikali kukarabati shule kongwe nchini - Waziri Naibu waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI) Kassim Majaliwa Serikali ya Tanzania imeahidi kuzifanyia marekebisho shule zote kongwe nchini ambazo hali ya miundombinu yake ni chakavu hivi sasa. Read more about Serikali kukarabati shule kongwe nchini - Waziri