SSRA yawaonya waajiri, mifuko ya hifadhi ya jamii
Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Hifadhi ya Jamii nchini Tanzania (SSRA) imewataka waajiri pamoja na mifuko ya hifadhi ya jamii kuwapa waajiriwa uhuru wa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii wanayoitaka.