D'Banj bado 'yupo yupo' tu

D'Banj

Staa wa muziki wa Nigeria, D'Banj amesema kuwa kutokana na maswali mengi kuzidi juu ya suala la yeye anaoa lini, anawataka mashabiki wake kufahamu kuwa, yupo katika mahusiano na mwanamke ambaye haoni haja ya kumtaja kwa sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS