China yaahidi makubwa Tanzania Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa China Li Keqiang. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Li Keqiang. Read more about China yaahidi makubwa Tanzania