Miyeyusho ni mbele kwa mbele.
Bondia namba moja Tanzania kwa uzito wa Bantam, Francis "Chichi Mawe" Miyeyusho, amesema huwa hana muda wa kupoteza kutaka kujua mbinu za mpinzani wake na badala yake yeye hujifua kwa bidii ili kuweza kumdhibiti kwa namna yoyote.