Hali ya usalama Kagera ni shwari - mkuu wa mkoa

Mkuu wa mkoa wa Kagera nchini Tanzania, kanali mstaafu Fabian Masawe

Mkuu wa mkoa wa Kagera nchini Tanzania Kanali mstaafu Phabiani Masawe amewatoa hofu wananchi wa mkoa huo kwa kusema kwamba hali ya usalama imeimarishwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS