Kala Jeremiah: Wale Wale remix imejitosheleza
Rapa kala Jeremiah, baada ya kutoka na remix ya Ngoma yake ya Wale Wale wiki hii, kazi ambayo imepokelewa vizuri sana na mashabiki, amesema kuwa muunganiko aliojaribu kutengeneza katika ngoma hii, amemuhusisha Juma Nature, Young Killer na Ney Lee.