Bifu la Zari, Ivan laamiam mtandaoni

Zari, Ivan na familia

Mwanamama Zari Hassan pamoja na baba watoto wake Ivan Ssemwanga wameendelea kurushiana vijembe na kutambiana baada ya kutengana, ambapo safari hii Zari ameamua kuonyesha mitandaoni picha zaidi akiwa na mpenzi mpya Farouk na maneno ya kumdiss Ivan.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS