MwanaFA, Mpoto wakamua Dubai MwanaFA Mrisho Mpoto Dubai Msanii wa muziki Mrisho Mpoto usiku wa kuamkia leo amefanya onyesho huko nchini Dubai katika sherehe kubwa ya ubalozi wa Tanzania nchini humo kusherekea miaka 50 ya muungano wa Tanzania na Zanzibar. Read more about MwanaFA, Mpoto wakamua Dubai