5SPORT E2014/17
Ligi Kuu Tanzania Bara inafikia kikomo Jumamosi hii kwa timu zote 14 kushuka dimbani, lakini tofauti na miaka mingi, mechi kati ya TZ Prisons na Ashanti ambazo zinakwepa kushuka daraja, ndio muhimu zaidi kuliko Simba na Yanga. Hii haijawahi kutokea!