Simba kujiwinda na Yanga Zenji
Katika Juhudi kuhitimisha ligi kuu ya soka ya Tanzania bara kwa heshima, kikosi cha klabu ya Simba kimeondoka hii leo jijini Dar es salaam kuelekea visiwani Zanzibar kupiga kambi kujiandaa na pambano dhidi ya watani zao wa jadi Yanga.