Mashali kumvaa Nyilawila Mei Mosi
Mabondia Thomas Mashali na Kalama Nyilawila watapanda ulingoni Mei Mosi mwaka huu kuwania ubingwa wa kimataifa wa UBO katika pambano litakalofanyika kwenye ukumbi wa Karume ndani ya viwanja vya maonesho ya biashara vya mwalimu Julius K Nyerere.