Wizkid amsimamisha kazi Meneja Wizkid na aliyekuwa meneja wake Godwin Tom Staa wa muziki kutoka nchini Nijeria, Wizkid ameripotiwa kusimamisha mkataba wa kazi na aliyekuwa meneja wake, Godwin Tom kufuatia kupishana maelewano na kuingia katika ugomvi mwishoni mwa wiki. Read more about Wizkid amsimamisha kazi Meneja