Tanzania Yatesa Brazil Timu ya taifa ya Tanzania ya watoto wa mitaani Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imefanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia yanayofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil baada ya kuifunga Indonesia kwa jumla ya mabao 5-3. Read more about Tanzania Yatesa Brazil