Viungo vya binadamu vyakutwa kwenye gari, jalala

Mkuu wa Polisi mkoa wa Kinondoni kamanda Camilius Wambura.

Viungo mbali mbali vya binadamu vimekutwa katika eneo la kutupa taka la Bunju jijini Dar es Salaam katika mazingira ambayo haijafahamika mara moja kuwa viungo hivyo vimetoka wapi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS