Wazazi CCM wakataa kutaja sifa za mgombea urais

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa ya CCM Abdallah Bulembo.

Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM imesita kuweka wazi msimamo wake kuhusu umri wa mgombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu ujao, kwa maelezo kuwa suala hilo linasubiri ratiba, taratibu na miongozi ya chama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS