Watanzania waenzini mashujaa - Saidi Mecky Sadick Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Mecky Sadiki. Wito umetolewa kwa Watanzania kujijengea tabia ya kuwaenzi mashujaa waliojitolea mhanga maisha yao katika ukombozi, kulinda na kujenga taifa la Tanzania. Read more about Watanzania waenzini mashujaa - Saidi Mecky Sadick