Simba wamualika Mtume Mwamposa siku ya Jumatano
Klabu ya Simba imethibitisha kumualika Mtume Boniface Mwamposa (Buldoza) kama moja ya wageni wake siku ya Jumatano katika mchezo wa awamu ya pili ya robo fainali ya Kombe la shirikisho Barani Afrika, mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.